Nchini mwetu Afrika Kusini ni Yesu peke yake (labda pamoja tu na ndugu Zake na wafuwasi) anayeruhusiwa kushughulika na mipango ya taifa hili la kiKrestu. Wale wanaomwamini Shetani ni lazima kila pengo lizibwe wasije wakapata mwanya nao wakung’aa kama Yesu waMji WaQunu huko Cape Mashariki badala ya Yesu waMji Nazareth.
Nipe muda basi nifafanue zaidi kabla ya mwisho ya wiki hii, lakini ukitaka kusoma maoni yangu kwa lugha ya Kiingereza, bonyeza hapa. Nawale pia wanaojiamini katika lugha ya Kienjeji tena yapili Bararani Afrika (Kizulu) wanaweza kubonyeza hapa